Posts

Showing posts from May, 2025
Image
  MAX PIG SUPER MEAT VIRUTUBISHO ASILIA BORA KWA AFYA YA NGURUWE WAKO. ■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT. -Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa. -Nguruwe kuingia joto kwa wakati na kupelekeea kuzaa watoto wengi wenye afya njema. -Huboresha kinga ya mwili hivyo nguruwe hustaimili magonjwa (Sahau kutibu). -Hupunguza gharama ya ulishaji kwani 1Kg ya max pig inaweza kuchanganya kwenye nusu tani ya chakula chako na nguruwe wako na akapata lishe yote (Mlo kamili). -Huondoa harufu mbaya bandani (Hutopata kero za mairani). -Huongeza hamu ya kula kutokana na utamu usio wa kawaida wa max pig pamoja na harufu nzuri. ■ Jinsi ya kuanza kuitumia max pig punde tu baada ya kuipata kutoka Mifugo plus. -Chukuwa 1Kg ya max pig kisha changanya kwenye chakula chako chenye Kg500/ nusu tani ulichokwisha andaaa tayari. ■Pia unaweza tumia max pig kwenye maji. -Chukuwa 1Kg ya max pig kisha changanya kwenye maji Li...