Posts

Showing posts from May, 2024
Image
  PUNGUZA UZITO ULIOPITILIZA KWA PROGRAM MAALUMU Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA FAHAMU NAMNA FOREVER C9 INAFANYA KUPUNGUZA UZITO. Forever C9 ni program ya awali kabisa ya kudhibiti uzito. Inafanywa kwa siku tisa kwa kuzingatia uwiano mzuri wa lishe inayotakiwa kwenye mwili. Kazi yake kubwa ni kusafisha (cleansing/detox) na pia kupunguza uzito kwa kuondoa mafuta ya ziada; na hivyo basi kutengeneza msingi mzuri wa kupunguza na kudhibiti uzito. Forever C9 ina mchanganyiko wa vitutubisho vitano kama ifuatavyo. 1. Forever Aloe Vera gel Hii kazi yake ni kusafisha mmeng’enyo wa chakula, kuondoa mafuta yaziada, kuimarisha Kinga ya mwili, kulisha seli na kuimarisha afya ya ngozi. 2. Forever Garcinia plus Hii kazi yake kubwa ni kuyeyusha mafuta na kukontro hamu ya kula. Hii hufanya vizuri pale ambapo mtu anafanya mazoezi. 3. Forever Therm Hii kazi yake kubwa ni kuwezesha metabolism ya mwili na kuzalisha joto hasa wakati mtu anafanya Mazoezi. Hivyo kuwezesha kuchoma mafuta kiurahi...
Image
  *FOREVER BEDROOM PACK ( KIFURUSHI )* 1. ARGI + 2. MULTI MACA 3. VITOLIZE FOR MEN Na *Comrade Ally Maftah* JITU LA MIRABA. *ARGI +. (FOREVER ARGI PLUS )* Kirutubisho hiki kipo kwenye mfumo wa unga, unaweza kuchanganya kwenye maji, maziwa mtindi, sharubati - Kazi kubwa ya Argi Plus ni kuhakikisha mfumo wa mzunguko wa damu unafanya kazi kiufasaha - Hivyo inasaidia kupeleka damu ya kutosha katika sehemu za siri za mwanaume - Inaimarisha suala la kusimamisha sehemu za siri za mwanaume, kwa ajili ya tendo la kindoa *MULTI MACA ( FOREVER MULTI MACA* Ni Virutubisho vilivyo katika mfumo wa tembe ( kidonge ), kimetengenezwa na mmea unaitwa MACA - Inaongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa - Inaongeza nguvu za kiume - Inaleta msawazo katika vichocheo ( HOMONI ) *VITOLIZE FOR MEN ( FOREVER VITOLIZE FOR MEN )* Ni virutubisho vilivyo katika mfumo wa tembe ( kidonge ) - Inaenda kukulinda na kupata tezi dume - Inaenda kuongeza uzalishaji wa vichocheo vya kiume. *ILI KUPATA MATOKEO YA ASILIMIA MIA ...
Image
     ·  *FOREVER MULTI MACA - IMARIKA KATIKA TENDO LA NDOA* Na *Comrade Ally Maftah* JITU LA MIRABA 0762212623 www.camstore.co.tz _*KAZI ZAKE KWA WATUMIAJI WA KIUME*_ 1. INAONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA NA HUONGEZA NGUVU ZA KIUME. 2. INASAIDIA KUONGEZA UBORA NA IDADI YA MBEGU ZA KIUME 2. INAIMARISHA MISULI YA SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAUME 3. INASAIDIA KULETA MSAWAZO WA HOMONI 4. INASAIDIA KUCHELEWESHA KUFIKA KILELENI. _*KAZI ZAKE KWA WATUMIAJI WA KIKE*_ 1. HURUTUBISHA MAYAI NA KUONGEZA UWEZEKANO WA KUBEBA UJAZITO 2. HUSAIDIA KULETA MSAWAZO WA HOMONI 3. HUPUNGUZA MAUMIVU WAKATI WA HEDHI 4. HUSAIDIA KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA WANAWAKE WENYE CHANGAMOTO ZA KUKOSA HAMU Bidhaa za Forever ni salama na zimethibitishwa na mashirika mbalimbali ya vyakula na dawa duniani. Kwa Mahitaji ya Bidhaa za Forever 0762212623 Comrade Ally Maftah https://www.facebook.com/100064111236627/posts/859624729517894/
Image
  *JE UNAZIJUA FAIDA ZA KUTUMIA ALOE VERA GEL, KWA MWILI WAKO?.* . 1. Ina Amino acids Zaidi ya 18, ambapo 7 kati ya hizo ni muhimu sana katika ukuwaji wa chembe chembe za uhai katika mwili wa binadamu... . 2. Inasaidia mwili wa mwanadamu kupambana na matatizo mbalimbali ndani ya mwili na nje ya mwili kama uvimbe na vidonda vya ndani ya mwili . 3. Inarekebisha Matatizo ya mmengenyo wa chakula kama kutopata choo vizuri, tumbo kujaa gesi, kupata choo kigumu n.k .. . 4. Inarekebisha Acid kuzidi tumboni ambayo mara nyingi hupelekea vidonda vya tumbo. . 5. Inasaidia Kurutubisha ngozi, kwa kuondoa seli zilizokufa na kutengeneza mpya na kuwa na muonekano mzuri haswa kwa wale wanaosumbuliwa na chunusi sugu. 6. Kuondoa vimbe mbali mbali ndani na nje ya mwili. . 7. Inasaidia Kuongeza kinga ya mwili na kuupa mwili nguvu za kutosha sababu ina vitimins C ya kutosha n.k . 8. Kusafisha sumu/ taka mwili zinazotokana na vyakula, madawa, pombe, sigara, msongo wa mawazo (stress) n.k. . 9. Inasaidia sa...
Image
  FAHAMU ARGI PLUS (+) MAANA YAKE | KAZI ZAKE | FAIDA ZAKE | MATUMIZI YAKE Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA FOREVER ARGI+ ni bidhaa bora kabisa kutoka katika kampuni yetu ya Forever living products Ina L-arginine amino acid kwa kila kijiko kimoja cha Argi+ Ina Nitric oxide ambayo inasaidia kutanua mishipa ya damu hivyo kuruhusu damu kupita vizuri Ina viondosha sumu vya *POMOGRANATE* ambavyo ni muhimu sana ili kuondoa sumu mwilini Ina *Vitamin* *Complex* ambazo zinasaidia kujenga misuli FAIDA ZA KUTUMIA ARGI+ 1. Ni kirutubisho muhimu sana kutumiwa kila siku kwa ajiili ya kusaidia mifumo yote ya mwili ili kuupa mwili uwezo wa kufanya kazi vizui zaidi. 2. Inasaidia mfumo wa kinga ya mwili, kutokana na nitric oxide ambayo inatumiwa na chembechembe nyeupe za damu kuua bacteria. Hivyo kuupa mwili uwezo zaidi wa kupigana na magonjwa. 3. Inasaidia kurekebisha kiwango cha "blood pressure kiwe sahihi na afya ya mzunguko wa damu ya moyo kiujumla. 4. Inasaidia kutengenezwa kwa mifupa na ...
Image
  ZIJUE FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKI (FOREVER ARCTIC SEA) Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Haya ni mafuta ya samaki ambayo yametengenezwa na samaki Aina ya Salmon anayepatikana katika bahari ya ARCTIC, wachunguzi wanaamini bahari ya ARCTIC Haina uchafuzi Kama vile kemikali na ndio maana wakatengeneza mafuta Bora kabisa ambayo ndani yake Yana OMEGA 3; Ikumbukwe kwamba nchi Kama JAPAN na CHINA hawakumbwi na maradhi Kama stroke kwa sababu ni watumiaji wakubwa wa mafuta haya. ZIJUE faida zingine za mafuta haya; 1; ∆✓ Ni muhimu kwa ukuaji wa ubongo pamoja na mfumo wa fahamu * Muhimu kwa ukuaji wa watoto kwani yanaongeza uwezo wao kiakili (intelligence) 2;∆✓ Husaidia katika matatizo ya Hormones 3; ∆✓ Afya ya ngozi 4:∆✓ Huongeza nguvu na Kinga ya mwili 5; ∆✓ Hupunguza cholesterol ambayo ni mafuta mabaya yaliyoganda katika mishipa ya damu. Pia Ni muhimu Sana kwa mama mjamzito kutumia mafuta haya ya samaki kabla, na baada ya kujifungua kwa ajili ya kusaidia kukuza ubongo wa mtoto aliyeko ...
Image
  *BORESHA AFYA YA MTOTO KWA FOREVER KIDS* Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Forever kids ni Mult-Vitamini kwa ajili ya mtoto.Ipo kwenye vidonge vitamu kama pipi hivyo kufanya watoto wavipende huku vikiwapatia virutubisho muhimu kila Siku ikiwemo vitamini A,C,D na B12,Calcium, Iron na Zinc MTOTO WAKO ATAPATA FAIDA ZIPO! =Inasaidia kuwapa watoto vitamin na madini muhimu kwa #Afya njema na kuboresha mfumo wa kinga na kupambana na #makonjwa =Inasaidia kuwaongezea hamu ya kula hivyo kupata virutubisho zaidi na kuboresha afya =Inasaidia kwa watoto ambao #wanajikojolea kitandani pia hata watu wazima *MATUMIZI* Forever kids ina tembe 120 ambazo zinaweza kutumika kwa miezi miwili kwa mtoto wa miaka 2 mpaka 4 watumie tembe mbili kwa siku.Kwa watoto wenye umri zaidi ya miaka 4 na watu wazima watumie vidonge 4 kwa siku.Jinsi wa kuipata MAWASILIANO 0762212623
Image
  *BORESHA AFYA YAKO KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO FOREVER LIVING PRODUCTS* Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Moja kati ya jambo la kuogopa kuliko chochote ni kupoteza uwezo wako wa kawaida / wa asili. Tambua kwamba kadri umri unavyozidi kwenda vichocheo, seli, ngozi, mishipa inapoteza uwezo wake wa kufanya kazi katika ufanisi. Jukumu la kurejeshea mwili wako uwezo wake si la serikali ni jukumu lako mwenyewe, Mwili wako, uzuri wako na utimamu wako ndio mtaji mkuu wa maisha yako. FOREVER INAKULETEA *MULTI MACA* Kuboresha afya ya uzazi na uimara/ ufanisi katika tendo la kindoa *ARG PLUS* Kuimarisha mfumo wa mzunguko wa damu ALOE VERA Kuondoa sumu mwilini *ARTIC SEA* Kuimarisha afya ya macho, ukuwaji wa sawia wa ubongo kwa watoto. VITOLIZE Inakulinda dhidi ya tezi dume na kansa ya korodani. VIRURUBISHO HIVI VIPO VINGI, NA VIMETHIBITISHWA NA MASHIRIKA MAKUBWA DUNIANI YA VYAKULA NA DAWA. *KWA MAHITAHI YA PRODUCT, POPOTE ULIPO TANZANIA* WASILIANA NA 0762212623 Comrade Ally Maftah
Image
  *FOREVER BEDROOM PACK ( KIFURUSHI )* 1. ARGI + 2. MULTI MACA 3. VITOLIZE FOR MEN Na *Comrade Ally Maftah* JITU LA MIRABA. *ARGI +. (FOREVER ARGI PLUS )* Kirutubisho hiki kipo kwenye mfumo wa unga, unaweza kuchanganya kwenye maji, maziwa mtindi, sharubati - Kazi kubwa ya Argi Plus ni kuhakikisha mfumo wa mzunguko wa damu unafanya kazi kiufasaha - Hivyo inasaidia kupeleka damu ya kutosha katika sehemu za siri za mwanaume - Inaimarisha suala la kusimamisha sehemu za siri za mwanaume, kwa ajili ya tendo la kindoa *MULTI MACA ( FOREVER MULTI MACA* Ni Virutubisho vilivyo katika mfumo wa tembe ( kidonge ), kimetengenezwa na mmea unaitwa MACA - Inaongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa - Inaongeza nguvu za kiume - Inaleta msawazo katika vichocheo ( HOMONI ) *VITOLIZE FOR MEN ( FOREVER VITOLIZE FOR MEN )* Ni virutubisho vilivyo katika mfumo wa tembe ( kidonge ) - Inaenda kukulinda na kupata tezi dume - Inaenda kuongeza uzalishaji wa vichocheo vya kiume. *ILI KUPATA MATOKEO YA ASILIMIA MIA ...
Image
  *HATUA KWA HATUA MALEZI YA VIFARANGA* Na *Comrade Ally Maftah* www.camstore.co.tz 0762212623 *Kwa Kifupi Sana fanya yafuatayo utanishukuru* Kwanza kabisa vifaranga wanahitaji Sana Mambo yafuatayo yazingatiwe. Joto Chakula Safi Maji Safi Mzunguko mzuri wa hewa Idadi sahihi ya Vyombo vya chakula na Maji Randa Safi ,zisizo na vumbi, kavu Biosecurity/ usalama wa viumbe. NISEME TU KWAMBA FUATA HAYA KWA VITENDO KABISA UTAFAULU *WIKI LA KWANZA* Siku ya kwanza kabisa ( Glucose/Glucovet inategemea wametoka umbali gani wanaweza kupewa masaa 3-24). *Multivitamins* Mfn! Neoxychick, Chick formula ,Tetracovit Kwa siku ya kwanza Hadi ya 3-5. Siku ya 6 huwa tunashauri wapewe maji tupu, Siku ya Saba ni chanjo ya kwanza ya NEWCASTLE/ KIDERI-MDONDO Muda huu wote watakua wanatumia chakula cha Starter/ Broiler starter. *WIKI LA PILI* Siku ya nane Hadi siku ya 12 Wapewe vitamins zipo Aina nyingi Sana *Mfn* :Aminototo, Introvit Farmvita, Dad OCTAVIT, etc Siku ya 13 wapewe maji matupu ( japo hata ...