ZIJUE FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKI (FOREVER ARCTIC SEA)
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Haya ni mafuta ya samaki ambayo yametengenezwa na samaki Aina ya Salmon anayepatikana katika bahari ya ARCTIC, wachunguzi wanaamini bahari ya ARCTIC Haina uchafuzi Kama vile kemikali na ndio maana wakatengeneza mafuta Bora kabisa ambayo ndani yake Yana OMEGA 3;
Ikumbukwe kwamba nchi Kama JAPAN na CHINA hawakumbwi na maradhi Kama stroke kwa sababu ni watumiaji wakubwa wa mafuta haya.
ZIJUE faida zingine za mafuta haya;
1; ∆✓ Ni muhimu kwa ukuaji wa ubongo pamoja na mfumo wa fahamu
* Muhimu kwa ukuaji wa watoto kwani yanaongeza uwezo wao kiakili (intelligence)
2;∆✓ Husaidia katika matatizo ya Hormones
3; ∆✓ Afya ya ngozi
4:∆✓ Huongeza nguvu na Kinga ya mwili
5; ∆✓ Hupunguza cholesterol ambayo ni mafuta mabaya yaliyoganda katika mishipa ya damu. Pia Ni muhimu Sana kwa mama mjamzito kutumia mafuta haya ya samaki kabla, na baada ya kujifungua kwa ajili ya kusaidia kukuza ubongo wa mtoto aliyeko tumboni na Afya ya mama pia
6.Kuzuia arthritis (matatizo ya joints)
7.Kuzuia kukua kwa vimbe tumboni
8. Kusaidia kumbukumbu kukaa vizuri
9.Huimarisha misuli ya mwili .

Comments
Post a Comment