PUNGUZA UZITO ULIOPITILIZA KWA PROGRAM MAALUMU

Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
FAHAMU NAMNA FOREVER C9 INAFANYA KUPUNGUZA UZITO.
🎯 Forever C9 ni program ya awali kabisa ya kudhibiti uzito. Inafanywa kwa siku tisa kwa kuzingatia uwiano mzuri wa lishe inayotakiwa kwenye mwili. Kazi yake kubwa ni kusafisha (cleansing/detox) na pia kupunguza uzito kwa kuondoa mafuta ya ziada; na hivyo basi kutengeneza msingi mzuri wa kupunguza na kudhibiti uzito.
🎯 Forever C9 ina mchanganyiko wa vitutubisho vitano kama ifuatavyo.
1. Forever Aloe Vera gel
🎯 Hii kazi yake ni kusafisha mmeng’enyo wa chakula, kuondoa mafuta yaziada, kuimarisha Kinga ya mwili, kulisha seli na kuimarisha afya ya ngozi.
2. Forever Garcinia plus
🎯 Hii kazi yake kubwa ni kuyeyusha mafuta na kukontro hamu ya kula. Hii hufanya vizuri pale ambapo mtu anafanya mazoezi.
3. Forever Therm
🎯 Hii kazi yake kubwa ni kuwezesha metabolism ya mwili na kuzalisha joto hasa wakati mtu anafanya Mazoezi. Hivyo kuwezesha kuchoma mafuta kiurahisi. Lakini pia inasaidia sana kumpa mtu nguvu na stamina wakati wa kuifanya Forever C9 program.
4. Forever Lite Ultra
🎯 Hii Ni protein shake ambayo imetengenezwa kwa soya na kuongezewa aminotein ambayo hutumika kwa kuchanganya na maji au juice fresh (ingawa kwa matokeo mazuri ya kupunguza uzito itumie na kwa kuchanganya na maji). Hii inamfanya mtu asijisikie njaa wakati wa program kwasababu inakaa tumboni kwa muda mrefu.
5. Forever fiber
🎯 Hii inasaidia sana kwenye mmeng’enyo wa chakula. Ina nyuzi nyuzi nyingi sana kwaajili ya kuhakikisha mmeng’enyo wa chakula haupati shida yoyote kama vile choo kigumu au kutopata choo, tumbo kujaa gas n.k
Hivi Ndiyo virutubisho vitano vilivyo ndani ya Forever C9. Atakayefanya hii program anauhakika wa kupungua kuanzia kg 3 hadi 8.
MAWASILIANO
0762212623

Comments

Popular posts from this blog