Posts

Showing posts from June, 2024
Image
  *OFA YA CAM STORE UFUGAJI KWA WATEJA WETU .* *TAA ZA JOTO KWA VIFARANGA ( INFARED BULB )* *UKINUNUA TAA 5 KWANGU NINAKUPA ZAWADI YA VITABU HARD COPY VIWILI VYENYE THAMANI YA TSH 30,000* *NITAKUONGEZA VITABU VINGINE 10 SOFT COPY, VYA UJASILIAMALI, UFUGAJI, STADI ZA MAISHA.* *TAA NI SH 14,000 TU, BADALA YA TSH 15000.* PAMOJA NA HILO CAM STORE TUNATAFUTA MAWAKALA DAR ES SALAAM NA MIKOANI, TUTAWAUZIA BIDHAA ZA UFUGAJI KWA BEI ZA JUMLA *MAWASILIANO* 0762212623 Comrade Ally Maftah
Image
  *KITABU CHA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UFUGAJI KIPO TAYARI,* *SOFT COPY NI TSH 2000.* *HARD COPY 20000.* *KITABU KIPO MAKTABA YA TAIFA KWA UWEZO WA ALLAH.* *NJOO INBOX KAMA UNAHITAJI.* *SURA YA KWANZA* VYAKULA MBADALA NA UCHANGANYAJI WA CHAKULA 1. HYDROPONIC FODDER 2. AZOLA 3. MINYOO 4. BIO EARN 5. INZI CHUMA 6. MOLASES 7. UCHANGANYAJI WA CHAKULA CHA KUKU *SURA YA PILI* 1. CHANJO NA DAWA ZA ASILI *SURA YA TATU* MATUMIZI YA VIFAA VYA UFUGAJI 1. KIATAMISHI 2. TOCHI ZA KUPIMIA YAI 3. TAA ZA KULELEA VIFARANGA 4. VYUNGU JOTO 5. NIPPLES DRINKERS 6. VIZIMBA ( CAGES ) 7. ANDALIO LA MRADI WA UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA 8. ANDALIO LA MRADI WA UFUGAJI KUKU WA MAYAI NA KIENYEJI *KITABU KIMEANDIKWA NA* *Comrade Ally Maftah* *Mkufunzi wa Ujasiliamali* VIFAA VYOTE VYA UFUGAJI VINAPATIKANA CAM STORE TZ NITAKUONGEZEA VITABU VINGINE 1. MAPINDUZI YA UCHUMI KATIKA KULIMO NA IFUGAJI 2. SIASA KAZI MAARIFA 3. KITABU CHA UJASILIAMALI 4. NA VITABU 6 VYA WAANDISHI WENGINE 0762212623 0785670227
  *CAM STORE* Tumekuletea *BioEarn* *Feed* *Additives* ama _nyongeza ya malisho._ Virutubisho vya _BioEarn_ vimetengenezwa kitaalamu kwa kutumia Unga wa mimea yenye Vitamini na Protini nyingi katika uwiano wa kisayansi na kuongeza aina mbali mbali za Madini na Bacteria kama _[ bacillus_ _subtilis_ _type 1]_ wenye manufaa makubwa hasa kusaidia machakato wa uchachushaji, umeng'enyaji na kinga ya kimfumo. Aidha, BioEarn Imeongezwa _probiotics, prebiotics_ na metabolites nyingi ambazo hudumisha uwiano wa kiikolojia wa mimea na matumbo ya wanyama ,hivyo husaidia ufyonzwaji wa Virutubisho mbali mbali kwa wanyama na kuboresha Kinga ya wanyama, wanyama hukua haraka na kubaki wenye afya njema. Tunavyo Virutubisho vya mifugo mbali mbali kama vile. ●Kuku wa nyama ,kuku wa mayai na ndege wengine. ●Ngurue, mbwa,mbuzi na kondoo. ●Ng'ombe, ng'amia & farasi. ●Samaki aina zote. *Faida kuu za kutumia Bio Earn kwa Kuku na Mifugo Mingine* ●Husaidia kuimarisha uwezo wa kuondoa sumu kwenye i...
Image
  *MFANO WA KUANDAA MRADI WA KUKU WA MAYAI 500.* Na Comrade Ally Maftah www.camstore.co.tz Mfano Wa Mpango Wa Biashara Wa Kuku Wa Mayai 500... Mjasiriamali mfugaji, Uzalishaji wa mayai ni biashara ambayo huleta faida kubwa sana kwa wajasiriamali wafugaji waliowekeza mitaji yao katika sekta hii. Changamoto ya wengi wao hufanya biashara ya ufugaji bila ya kuwa na mwongozo wa mpango wa biashara. Pata mfano hapa jinsi ya kuandaa mpango wa biashara wa kurasa 1 wa kuku wa mayai wa kibiashara 500. MAONO Kuwa shamba linaloongoza kwa kuzalisha bidhaa salama za ufugaji wa kuku hapa Tanzania. MISHENI Kuzalisha mayai bora kwa kutumia njia za kisasa za ufugaji wa kibiashara wa kuku wa mayai. MALENGO ya muda mfupi ni kuzalisha mayai bora 460 kila siku kwa kutumia lishe bora ilio salama na nafuu toka hapo shambani. MALENGO ya muda mrefu ni kusambaza mayai bora mwaka hadi mwaka kwa kuwa na bachi tatu za kuku 500 zinazo tofautiana kwa wiki 21. BIDHAA Kuuza mayai, mbolea, manyoya, sham...
Image
  TUNAUZA MASHINE BORA ZA KUTOTOLESHEA VIFARANGA. |FULL AUTOMATIC EGGS INCUBAROR| BEI ZA INCUBATOR. . Mashine ya mayai 16 Bei: 150,000 Tsh . Mashine ya mayai 24 Bei: 180,000 Tsh . Mashine ya mayai 56 i: 350,000 Tsh : Mashine ya mayai 70 Bei 450,000 Tsh : Mashine ya mayai 96 Bei: 480,000 Tsh . Mashine ya mayai 112 Bei: 550,000 Tsh : Mashine ya mayai 120 Bei :650,000 Tsh . Mashine ya mayai 176 Bei: 780,000 Tsh . Mashine ya mayai 264 Bei: 995,000 Tsh .Mashine ya mayai 352 Bei: 1,200,000 Tsh .Mashine ya mayai 440 Bei: 1,300,000 Tsh . Mashine ya mayai 528 Bei: 1,500,000 Tsh . Mashine ya mayai 1,056 Bei: 2,000,000 Tsh . Mashine ya mayai 1,584 Bei: 2,400,000 Tsh . Mashine ya mayai 2,112 Bei 2,800,000 Tsh . Mashine ya mayai 3,168 Bei: 3,800,000 tshs . Mashine ya mayai 4,224 Bei: 4,300,000 tshs . Mashine ya mayai 5,280 Bei: 4,900,000 tshs ●Vifaa vya kutengenezea incubator:- 1. Tray za incubator. 2. Controller aina zote zipo 3. Limit switch 4. Baskect tray za hatching 5....
Image
  *_TUNADIZAINI NA KUPRINT VITU VIFUATAVYO_* *1. POSTER (TANGAZO)* *2. LOGO* *3. LEBO ZA BIDHAA* *4. FLYERS* *5. BUSINESS CARD* *6. WARRANTY CARD* *7. DELIVERY CARD* *8. ID (IDENTITY CARD)* *9. BROCHURE* *10. MAGAZINE* *11. KALENDA* *12. KADI ZA MIALIKO YA ( HARUSI, SENDOFF...)* *13. BOOK COVER* *14. PACKAGE DESIGN* *15. CAR BRANDING* *16. MABANGO ( BANNERS )* *17. TSHIRT* *18. NAME TAG* *19. RISITI* MAWASILIANO 0785670227