*JE UNAZIJUA FAIDA ZA KUTUMIA ALOE VERA GEL, KWA MWILI WAKO?.*

.
1. Ina Amino acids Zaidi ya 18, ambapo 7 kati ya hizo ni muhimu sana katika ukuwaji wa chembe chembe za uhai katika mwili wa binadamu...
.
2. Inasaidia mwili wa mwanadamu kupambana na matatizo mbalimbali ndani ya mwili na nje ya mwili kama uvimbe na vidonda vya ndani ya mwili
.
3. Inarekebisha Matatizo ya mmengenyo wa chakula kama kutopata choo vizuri, tumbo kujaa gesi, kupata choo kigumu n.k ..
.
4. Inarekebisha Acid kuzidi tumboni ambayo mara nyingi hupelekea vidonda vya tumbo. .
5. Inasaidia Kurutubisha ngozi, kwa kuondoa seli zilizokufa na kutengeneza mpya na kuwa na muonekano mzuri haswa kwa wale wanaosumbuliwa na chunusi sugu.
6. Kuondoa vimbe mbali mbali ndani na nje ya mwili.
.
7. Inasaidia Kuongeza kinga ya mwili na kuupa mwili nguvu za kutosha sababu ina vitimins C ya kutosha n.k
.
8. Kusafisha sumu/ taka mwili zinazotokana na vyakula, madawa, pombe, sigara, msongo wa mawazo (stress) n.k.
.
9. Inasaidia sana katika upatikanaji wa choo kwa wenye tatizo la kupata choo au wanaopata choo kigumu.
.
10. Huimarisha mzunguko wa damu, mishipa ya damu na kuyeyusha damu na mafuta yaliyoganda
.
11. Ni lishe tosha katika mwili wa mwanadamu...
Hii ukiwa unatumia mara kwa mara unakuwa na Afya imara sana na kukufanya kuwa mchangamfu mno, haswa kwa wale wanaofanya kazi za kukaa kwa muda mrefu
MAWASILIANO
0762212623
Comrade Ally Maftah

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog