*OFA YA CAM STORE UFUGAJI KWA WATEJA WETU .* *TAA ZA JOTO KWA VIFARANGA ( INFARED BULB )* *UKINUNUA TAA 5 KWANGU NINAKUPA ZAWADI YA VITABU HARD COPY VIWILI VYENYE THAMANI YA TSH 30,000* *NITAKUONGEZA VITABU VINGINE 10 SOFT COPY, VYA UJASILIAMALI, UFUGAJI, STADI ZA MAISHA.* *TAA NI SH 14,000 TU, BADALA YA TSH 15000.* PAMOJA NA HILO CAM STORE TUNATAFUTA MAWAKALA DAR ES SALAAM NA MIKOANI, TUTAWAUZIA BIDHAA ZA UFUGAJI KWA BEI ZA JUMLA *MAWASILIANO* 0762212623 Comrade Ally Maftah
PUNGUZA UZITO ULIOPITILIZA KWA PROGRAM MAALUMU Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA FAHAMU NAMNA FOREVER C9 INAFANYA KUPUNGUZA UZITO. Forever C9 ni program ya awali kabisa ya kudhibiti uzito. Inafanywa kwa siku tisa kwa kuzingatia uwiano mzuri wa lishe inayotakiwa kwenye mwili. Kazi yake kubwa ni kusafisha (cleansing/detox) na pia kupunguza uzito kwa kuondoa mafuta ya ziada; na hivyo basi kutengeneza msingi mzuri wa kupunguza na kudhibiti uzito. Forever C9 ina mchanganyiko wa vitutubisho vitano kama ifuatavyo. 1. Forever Aloe Vera gel Hii kazi yake ni kusafisha mmeng’enyo wa chakula, kuondoa mafuta yaziada, kuimarisha Kinga ya mwili, kulisha seli na kuimarisha afya ya ngozi. 2. Forever Garcinia plus Hii kazi yake kubwa ni kuyeyusha mafuta na kukontro hamu ya kula. Hii hufanya vizuri pale ambapo mtu anafanya mazoezi. 3. Forever Therm Hii kazi yake kubwa ni kuwezesha metabolism ya mwili na kuzalisha joto hasa wakati mtu anafanya Mazoezi. Hivyo kuwezesha kuchoma mafuta kiurahi...
CAM STORE DESIGNING NA PRINTING PUNGUZO LA BEI LA MWEZI DECEMBER DTF & SCREEN PRINTING ( TSHIRT, SHIRT, JEZI, KANGA, VITAMBAA, KAMBA ZA KUNINGINIZA KITAMBULISHO NA DTF YYENYEWE) KUPRINT DTF SQUARE MITA 1 - TSH 20,000 ( KWA WENYE HEAT PRESS MACHINE ) KUPRINT TSHIRT NA SHART. POKET SIZE - 3,000 SIZE YA A4 KWENYE TUMBO - 7,500 MAANDISHI NYUMA - 3,500* TSHIRT PLAIN ( TWIST, POLO, SPORT NA MANGA BEI NI 8500 - 12000 KWA TSHIRT KALI KAMBA ZA KUNINGINIZA VITAMBULISHO. KUPRINT KAMBA NI TSH 600 KWA KAMBA MOJA. KAMBA NAUZA TSH 1000 KWA KAMBA, KUPRINT JEZI JINA NYUMA - 5000, JINA NA NAMBA, JINA PEKE YAKE NI 3500. NJOO TUKUPRINTIE KWA QUALITY SAFI NA HARAKA MAWASILIANO 0777 270227 0785 670227 0762 212 623
Comments
Post a Comment